wanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma wakiwa kwenye gari wakielekea kituoni hapo
pembeni yangu ni dada neema shija na washkaji wengine
thanks GOD tulifika salama kituoni hapo..wanafunzzi wa udom wakipeleka kiroba cha unga. tulipokelewa vizuri sana
hawa ndio watoto yatima katika kituo cha nyumba ya matumaini kilichopo miyuji dodoma mjini. na vinavyoonekana hapo ni vitu mbalimbali tulivyojaaliwa kuwapelekea
muda ulipofika tulijumuika na watoto katika michezo mbalimbali.
Betrice akiimbisha wimbo ya biringe ba yoyo dah tuli enyoy ile mbaya, tulicheza na wadogo zetu
mwanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma akicheza biringe
picha ya pamoja
mimi, brother areman kizuguto na mshkaji wetu
picha ya pamoja na wadogo zetu
someni kwa bidii wadogo zangu tupo pamoja sana nanyi
mimi na mshkaji wangu mpoki mwakisimba
suleiman akitoa shukrani za dhati kwa sister modesta mapendo ambae ndiye mlezi wa kituo cha nyumba ya matumaini. napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wanafunzi wenzangu wa chuo kikuu cha dodoma(udom chamber) kwa kufanikisha shughuli hii kiukweli tume enyoy sana. najivunia sana kiisaidia jamii yangu kwa kushirikiana katika mambo ya msingi kama haya.
Linah na watoto wa mh luticia nyerere
Linah anatajia kupiga show zaidi ya majimbo ndani ya USA Linah atapoa pande za obama land kwa muda wa miezi minne
kulikuwa na bonge la nyomi
Fid q akipagawisha kwa steji
G nako na Bonta wakipiga story
Spider alikuwa ndani ya nyumba
my best bloger in town DJ CHOKA alimpokelea cirtificate DJ BONNY LUV
Bonta alipokea cirtificate ya apreciation
mkali Juma nature akiingia ndani ya ukumbi wa DAR LIVE